Usiulize nchi yako imekufanyia nini, jiulize umeifanyia nini nchi yako. Hapa WanaAMTTA wanaonyesha jinsi tunavyoweza kusaidiana sisi kwa sisi. Walijichanga wakaitumia siku hii kula chakula na watoto ya yatima. Je wewe umefanya lipi? MAENDELEO YATALETWA NA MWANAMKE
2 comments:
MASHALLAH
Maashallah, kweli tunaweza na Mungu atatuzidishia tutazidi kuweza Amina rabillaalamina
Post a Comment