Saturday, October 15, 2011

KUTOA NI MOYO

Usiulize nchi yako imekufanyia nini, jiulize umeifanyia nini  nchi yako. Hapa WanaAMTTA wanaonyesha jinsi tunavyoweza kusaidiana sisi kwa sisi. Walijichanga wakaitumia siku hii kula chakula na watoto ya yatima. Je wewe umefanya lipi? MAENDELEO YATALETWA NA MWANAMKE

2 comments:

AMTTA Blog Team said...

MASHALLAH

key said...

Maashallah, kweli tunaweza na Mungu atatuzidishia tutazidi kuweza Amina rabillaalamina