KUNDI LETU LILIWEZA JITOLEA IKIWA NI MWANZO TU WAKUNDI KWA KULA CHAKULA NA WATOTO WA KITUO WASIOJIWEZA CHA MWANAMBOKA, KWA NGUVU ZA WACHAMA PEKEE BILA WADHAMINI...JE UNAJUA NI KITU GANI KINGINE....WANACHAMA WA AMTTA WANATAKA KUJITOLEA?
AMTTA INAYOENDESHWA KWA NGUVU ZA WANACHAMA WANAWAKE WA EAST AFRICA..SASA WAPO JIKONI WAKIJIANDAA NA SHUGHULI NYINGINE YA KIJAMII......ILI KUJUA NI KIPI KINACHOFUATIA,BASI USISITE KUTEMBELEA BLOG YETU NA PAGE YETU.....
AMTTA INAAMINI NGUVU YA MWANAMKE MMOJA NI SAWA NA NGUVU ZA WANAUME KUMI NA MOJA NA UBONGO WA MWANAMKE MMOJA NI SAWA NA UBONGO WA WANAUME 21...KAA TAYARI........
No comments:
Post a Comment