Tuesday, December 6, 2011

KAMA ALIWEZA KUFANYA HAYA NA KAKA YAKE BASI HATA BABA MKWEE WAKE AWEZAAA MCHUKUA WALAAH

ANGELINA  JOLIE AND JAMES..MTU NA KAKIEEE HAOOO ENZII HIZOOO....

NAONA HELA HAZIOTESHI NYWELEE ZA PEMBE YA KICHWAAAA

SIMON COWELL...NDANI YA KITAA.....SIJUI HUYU BABA NI UPUNGUFU WA MCHICHA AU...MAANA ANA KIPARA CHA PEMBE............HAKIFICHIKI HIKI EEH

AMTTA.......JE WAJUA TUKIO LIPI LINALOFUATIA

KUNDI LETU LILIWEZA JITOLEA IKIWA NI MWANZO TU WAKUNDI KWA  KULA CHAKULA NA WATOTO WA KITUO WASIOJIWEZA CHA MWANAMBOKA, KWA NGUVU ZA WACHAMA PEKEE BILA WADHAMINI...JE UNAJUA NI KITU GANI KINGINE....WANACHAMA WA AMTTA WANATAKA KUJITOLEA?
  AMTTA INAYOENDESHWA KWA NGUVU ZA WANACHAMA WANAWAKE WA EAST AFRICA..SASA WAPO  JIKONI WAKIJIANDAA NA SHUGHULI NYINGINE YA KIJAMII......ILI KUJUA NI KIPI KINACHOFUATIA,BASI USISITE KUTEMBELEA BLOG YETU NA PAGE YETU.....
  AMTTA INAAMINI NGUVU YA MWANAMKE MMOJA NI SAWA NA NGUVU ZA WANAUME KUMI NA MOJA NA UBONGO WA MWANAMKE MMOJA NI SAWA NA UBONGO WA WANAUME 21...KAA TAYARI........