Thursday, October 20, 2011

WA MOJA NI WA MOJA, JOKATE AULA CHANNEL O

Kwa mlio bongo ukimuona Jokate kaanae karibu coz utauza sura Channel O, Ndio VJ wao mpya nchini na hao wengine ni wa Nigeria, Uganda, Kenya, Angola na South Afrika. Hard work pays jamani, Jokate real works hard so anastahili kupata chances kama hizi

No comments: