Wadada wa mjini sasa hivi hawana story, kila mtu anauzungumzia unyao mwekundu mara kitu cha CL. mnaijua kilipoanzia hicho kiatu, na nyie mnapaka rangi nyekundu kwenye soli halafu hamuishi kunyanyua miguu mkikaa vitini mnaijua hiyo CL ilikoanzia.
All n all, moja kati ya maceleb africa niliowahi kuwaona wakiwa wamevaa unyayo mwekundu ni huyu Genevieve Nnaji, ukiendelea kwenye blog utakutana na hiyo picha.
Hana pea moja ya CL, nimeona picha zake nyingi tu chini kakanyagia wekundu wa CL. Sasa bi dada kuthibitisha kuwa anamapenzi ya dhati na CL amekuwekea picha h ii akiwa amepiga na designer mwenyewe Christian Louboutin.
Sasa sie tunaovaa feki ngoja tutafute wachina tupige nao picha......xoxo
No comments:
Post a Comment