Tuesday, October 18, 2011

ULINZI LAZIMA

Unamuona Madam Ritha nyuma ana mlinzi, unapokuwa mrembo kama hivi inabidi tu uweke ulinzi huwezi jua kuna mijitu inapanga kukumwagia hata tope tu. Kwa tulio warembo wote si ulinzi tu ikibidi tujikatie insurance hahahahahahahah

1 comment:

Anonymous said...

Madame wa ukwe'ee