Kuna ukweli wowote kuwa wanaume wenye pesa wanaongoza kwa kucheat, nilikuwa nasoma article moja inasema 'all men who have money cheat', DO YOU GUYS AGREE?. Me nijuavyo wanaume wetu hata akiwa hana ndururu anaweza kukucheat tu.
For me dating a wealthy man doesn’t necessarily mean that he will leave you heartbroken, and dating a man with no money doesn’t particularly mean that infidelity is ruled out.
AU tuzungume ukweli sasa ni bora kuwa cheated na mwanamume mwenye pesa au asiye na pesa? n why
No comments:
Post a Comment