AMTTA (AMKA MWANAMAMA TUUNGANE TUIKOMBOE AFRICA )NI KIKUNDI CHA KINA MAMA WALIOUNGANA NA SIKU HII WALIKUWA WANAKIZINDUA KIKUNDI CHAO KWA STYLE YA PEKEE AMBAPO MCHANA WALIKULA CHAKULA NA WATOTO YATIMA WA TANZANIA MITINDO HOUSE PAMOJA NA KUWAPA ZAWADI NA JIONI NDO SHEREHE ZILIENDELEA KWA KUJIACHIA NA RUSHA ROHO SAMBAMBA NA KIBAO KATA.......(ni mwendo wa nyonga tu)
4 comments:
Nimefurahi sana kwa sisi wanawake kijitolea kuwasaidia watoto yatima kwani furaha ya watoto ni wazazi sasa kama wao maskini hawana wazazi sisi tupo kama wazazi wao na nimefurahi sana kwa hichi chama chetu kutuwakilisha na mwenyeezi mungu atawalipa kwa hili na inshaallah tupendane na tusaidiane asanteni sana AMTTA GROUP
THANK SAYDAT SAID.....MWENYEZI MUNGU ATUZIDISHIE IMANI NA UPENDO
Amina kwa Dua na tutaendelea na kila tutakachojaaliwa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu
that very greeeeeeeeeeeet...mungu alidumishe hili amin
Post a Comment