AMTTA NI KUNDI LA WANAWAKE WA EAST AFRICA WALIOJIUNGA ILI KUJIWEZESHA NA KUJIKOMBA. NDANI YA BLOG HII UTAPATA HABARI MBALI MBALI PAMOJA NA SHUGHULI ZA KIJAMII ZINAZOFANYWA NA WANA AMTTA. KARIBUNI.
Monday, October 17, 2011
ALIOSEMA UNENE NI UZITO...AJAWAHI KUKUTANA NA KIMWANA WA AMTTA LINDA JR.......AMEJAZIA KOTEE NA ANAKUPIGIA MISAMBA KAMA HII.......KILOVE UKO JUUU
5 comments:
huyu dada atakua mwana mazoezi kweli sio bure
safiii full mazoezi
Jamani Linda kweli nimeamini unene sio isue...kikubwa mazoezi....
Mie hata kunyoosha mikono mpaka mwisho siwezi, Linda umenishinda we mwana
Dada mpenzi wako anafaidi sana
Post a Comment