Hao wadada wawili, Juu ni Genevieve na chini ni Omotola Jalade wanakimbiza mbaya huko Nollywood kwa kila kitu....Ni wadada wa makamo but they still look hawty! Wanajua kuvaa, kuigiza and they are beautful! Well mnaweza kumjaji kwa uzuri, kuvaa na uigizaji......lets gooooooooooooooo
3 comments:
mi namkubali Omotola zaidi
Omotola all the way
bwana me huniambii kitu omotola anatisha meen!mdada ni real definition of beauty!!
Post a Comment