Saturday, October 15, 2011

AMTTA NA SHUGHULI ZA JAMII

KUNDI LA WANAWAKE LILILO UNDWA KWA KUPITIA KITABU CHA USO YANI FACEBOOK...........AMTTA..LINA WANACHAMA  108  WALIO SEHEMU MBALIMBALI YAANI EAST AFRICA KWA UJUMLA TANZANIA, KENYA NA UGANDA.......NIA NA MADHUMUNI NI KUJIKOMBOA WANAWAKE KWA NJIA MOJA AU NYINGINE...KATIKA KUNDI WAPO WANAWAKE WALIOACHIKA KATIKA NDOA,WAFANYAKAZI,WAKE ZA WATU NA WASICHANA WALIO NJIANI KUOLEWA..BILA KUSAHAU WAPO WASIOKUWA NA KAZI YA WAMEJIAJIRI...AMTTA KAMA AMMTA...TUMEWEZA KUANZA TUU KWA KULA CHAKULA NA WATOTO WASIOJIWEZA WA KITUO CHA MWANAMBOKA.IKUMBUKWE YA KUWA HUO ULIKUWA NI MWANZO TUUUUU...

AMTTA INAKUACHA NA SWALI HILI...JE WAWEZA KUHISI AMTTA WATAFANYA SHUGHULI GANI NYINGINE YA KIJAMIIIIII??????????????????......

No comments: